Friday, November 29, 2013

KEYBOARD DELL INSPIRON N5050 N5040

Hi! guys, please any one with keyboard of dell n5050 or n5040 please call me on 0715118350


Sunday, June 2, 2013

Biashara na MassCom Solution

for sale / kwa mauzo     

for sale/kwa mauzo


Dell D620   for sale
Tembelea MassCom Solution kwa maelezo na manunuzi
bei ni poa kabisa
sifa
CPU-2.2ghz
RAM-2Gb
ROM-DVD wr
HD-80Gb

    

Friday, May 31, 2013

MATOKEO KIDATO CHA SITA 2013

MATOKEO KIDATO CHA SITA 2013  HAYA HAPA
HATIMAYE MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YATOKA.

Hayawi hayawi! hatimaye yamekua. Kutoka kwa wanafunzi kurisiti mitihani hatuimaye NECTA nao mwaka huu warisiti matokeo.
Fuatilia kiundani zaidi zaidi , Je? ni kweli kuna mabadiliko? au changalamacho?

SHULE KUMI BORA NA KUMI ZA MWISHO KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012

SHULE KUMI  ZILIZOFANYA VIZURI ZAIDI KATIKA KUNDI LA SHULE ZENYE WATAHINIWA 40 AU ZAIDI

aa

Ubora wa ufaulu wa shule umepangwa kwa kutumia kigezo cha “Grade Point Average” (GPA) kuanzia A = 1 hadi F = 5.  Shule zenye watahiniwa 40 na zaidi ziko 3,391. Shule ya kwanza hadi ya ishirini zimeainishwa kwenye Jedwali 
lifuatalo :
1. SHULE KUMI  ZILIZOFANYA VIZURI ZAIDI KATIKA KUNDI LA SHULE ZENYE WATAHINIWA 40 AU ZAIDI 
NAFASI
JINA LA SHULE
IDADI YA WATAHINIWA
MKOA
1
ST. FRANCIS GIRLS
90
MBEYA
2
MARIAN BOYS S.S
75
PWANI
3
FEZA BOYS S.S
69
DAR ES SALAAM
4
MARIAN GIRLS S.S
88
PWANI
5
ROSMINI  S S
78
TANGA
6
CANOSSA S.S
66
DAR ES SALAAM
7
JUDE MOSHONO S S
51
ARUSHA
8
ST. MARY’S  MAZINDE JUU
83
TANGA
9
ANWARITE GIRLS S S
49
KILIMANJARO
10
KIFUNGILO  GIRLS S S
86
TANGA

Lakini pia tukiangalia upande wa pilii ni jambo la kusikitisha sana kwani kuna baadi ya shule zimekuwa zikifanya vibaya sana. si tu kwa kuwa za mwisho kwakua hakuna chanzo kisichokua na mwisho. Linalo sikitisha zaidi ni namna matokeo yake jinsi yalivyo. si vema nikaongea sana, jaribu kupitia na uangalie mweyewe. Je wakuu wa shule za jedwali hili la pili mpo? na kama mpo mikakati yenu itawapeleka mnapoitaji?
Sie twawaombea kheri kwa Mungu na tunaamini inawezekana. Kwani waliojuu wananini?
2. SHULE KUMI AMBAZO HAZIKUFANYA VIZURI ZAIDI KATIKA KUNDI LA SHULE ZENYE WATAHINIWA 40 AU ZAIDI
NAFASI
JINA LA SHULE
IDADI YA WATAHINIWA
MKOA
1
MIBUYUNI S.S
40
 LINDI
2
NDAME  S.S
41
UNGUJA
3
MAMNDIMKONGO S.S
63
PWANI
4
CHITEKETE S.S
57
MTWARA
5
MAENDELEO S.S
103
DAR ES SALAAM
6
KWAMNDOLWA S.S
89
TANGA
7
UNGULU S.S
62
MOROGORO
8
KIKALE S.S
60
PWANI
9
NKUMBA S.S
152
TANGA
10
TONGONI S.S
56
TANGA


Thursday, May 30, 2013

MATOKEO MAPYA KIDATO CHA NNE 2012

MATOKEO MAPYA YA MITIHANI KIDATO CHA NNE 2012 HAYA HAPA

Hayawi hayawi! hatimaye yamekua. Kutoka kwa wanafunzi kurisiti mitihani hatuimaye NECTA nao mwaka huu warisiti matokeo.
Fuatilia kiundani zaidi zaidi , Je? ni kweli kuna mabadiliko? au changalamacho?Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (MB) leo ametangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne, maarifa-QT.

Tuesday, May 28, 2013

KILIO KWA WA TZ. ALBERT MANGWER A.K.A NGWAIR


Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa,Rapper wa siku nyingi Bongo Albert Mangwair Amefariki Dunia akiwa nchinmi South Afrika
Ni mkari wa vina kipenzi cha wangi. Tutaendelea kufahamisha \source ya kifo chake.
R.I.P NGWAIR

Saturday, May 25, 2013

Sherehe za AU kutimiza miaka 50 zaanza


Viongozi wa Afrika wanasherehekea miaka 50 ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia.
AU
Mwaka wa 1963 viongozi wa Afrika wa wakati huo walikutana katika mji mkuu wa Ethiopia kuunda Umoja wa Nchi Huru za Afrika, OAU, ambamo wakiweza kujadili ulinzi, ukombozi na sera za mashauri ya nchi za nje na uchumi.
Nusu karne baadae, mengi bado hayakutimizwa.
Lakini kuna matumaini, hasa kwa sababu ya uchumi kukua sana katika bara hilo na hisia kuwa baadhi ya nchi kama Rwanda, Sierra Leone na hata Somalia zinaanza kuibuka kutoka ghasia na fujo.
Sherehe zilianza kwa wimbo wa AU.
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn, alikaribisha viongozi:
"Katika siku hii kubwa napenda kutoa hongera ya dhati kwa Wafrika wote katika bara letu.
Kutoka Cape hadi Cairo na kutoka Djibouti hadi Dakar pamoja na watu wote wenye asili ya Afrika wanaoishi ng'ambo.
Siku hii ya kihistoria inaashiria juhudi kubwa za bara zima la Afrika kuania uhuru, ukombozi na umoja, lakini piya ni mwanzo wa kutafuta uhuru wa kiuchumi na kijamii."